Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hatushiriki uchaguzi wenu haramuHii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.
Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga
View attachment 3309663View attachment 3309664
Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?
Ni kwamba wanaweza kutangazana kwamba Wameshinda, lakini ukweli ni kwamba wananchi hawatoshirikisio kwa hii inchi
vipi kama watatawala kibabe hata kama hawatapigiwa kura na wananchi wengi?Nadhani hiki ndicho watakachofanya nchi nzima siku ya Uchaguzi! Wananchi wengi hawatapiga kura.
Nawe huelewi,Ni kwamba wanaweza kutangazana kwamba Wameshinda, lakini ukweli ni kwamba wananchi hawatoshiriki
Hakuna nisichokijua, Mnaweza kuzuia lakini Kailima akatangaza matokeo ya mfukoni mwakeNawe huelewi,
Wananchi watazuia uchaguzi batili usifanyike.
Unahitaji Elimu hii ya no Reforms no Election Sannaš¤
Atakuwepo?Hakuna nisichokijua, Mnaweza kuzuia lakini Kailima akatangaza matokeo ya mfukoni mwake
Ngoja tuoneAtakuwepo?
Hakuna mtu mwenye akili atashiriki uchaguzi wa maigozo na dramaHii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.
Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga
View attachment 3309663View attachment 3309664
Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?
Watu wanakula kiapo kama jeshiniHeche anakubalika Sana
Sawa tu na ndicho watafanya.....watatengeneza kura fake nyingi sanavipi kama watatawala kibabe hata kama hawatapigiwa kura na wananchi wengi?