Nilidhania huwa unatafiti kumbe wewe ni wale wa coppy and pasteHii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.
Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga
View attachment 3309663View attachment 3309664
Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?
Joined 9 February 2025Nilidhania huwa unatafiti kumbe wewe ni wale wa coppy and paste
We unaishi nchi ganisio kwa hii inchi
Mbona sioni karatasi za kiapo??Hii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.
Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga
View attachment 3309663View attachment 3309664
Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?
Noma sana! Amang'ana GasarikileOna sasa Lissu kuha mishiwa Ukonga Ni Technical kwa Heche kila akitoka kumuangalia Lissu anaongea na wakurya wenzake wauza mayai... Na kuwa sambazia spirit ya Chadema.. Hapo Ukonga hata akiongea kilugha wata muelewa.. Maana ni kama yupo mkoa wa Mara.
Huna machoMbona sioni karatasi za kiapo??
Na uripoti jinsi alivyokuwa anazomewa na kundi kubwa wakisema hawataki kulazimishwa sera za ajabu.....Muulize Zakayo hapo ofisini kwenu , Video anazo.....Hii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.
Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga
View attachment 3309663View attachment 3309664
Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?
Wenye akili hawawaelewi .....OLE WAKE ATAKAYE SHIRIKI UCHAGUZI ,OLE WAKE ATAKAYE PANGA MSTARI KUSHIRIKI UCHAGUZI.
SIRAHA YETU MANATI
Si "kutoshiriki" tu, bali kuuzuia uchaguzi wenyewe usifanyike.Hatushiriki uchaguzi wenu haramu
Safari hii hawatapewa fursa hiyo. Mambo yasifanyike nusunusu, ni lazima uchaguzi usifanyike kabisa.Sawa tu na ndicho watafanya.....watatengeneza kura fake nyingi sana
Hakuna mtu mwenye akili atashiriki uchaguzi wa maigozo na drama
Wapo akina Mwashamba, Tlaatlaah na wa aina hiyo. Hawa ni lazima wazuiwe kwenda kuchafua uchaguzi.Hakuna mtu mwenye akili atashiriki uchaguzi wa maigozo na drama
Huyo atazolewa na kimbunga siku hiyo akifanya upumbavu huo. Usifanye mzaha na nguvu ya umma.Hakuna nisichokijua, Mnaweza kuzuia lakini Kailima akatangaza matokeo ya mfukoni mwake
Leo ndio nimeelewa kwa nini watu wanawaita CHADEMA nyumbuHii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.
Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga
View attachment 3309663View attachment 3309664
Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?