Picha: Wakazi wa Ukonga wakila Kiapo cha Kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms

Picha: Wakazi wa Ukonga wakila Kiapo cha Kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms

Nawe huelewi,

Wananchi watazuia uchaguzi batili usifanyike.

Unahitaji Elimu hii ya no Reforms no Election Sanna🤔
Nimeshangaa kidogo kuona hata mkuu 'Erythro' bado haelewi maana ya" NO Reform, No Election"!
Nia siyo kususia uchaguzi, ni kuzuia uchaguzi usifanyike moja kwa moja.
Njia za kuzuia uchaguzi usitokee zipo nyingi , lakini hilo si jambo la kutangaza wakati huu.
 
Hii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.

Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga

View attachment 3309663View attachment 3309664

Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?
Uchaguzi Mkuu haujaanza wewe ushasifia eti hawatapiga kura? Mbona mnachekesha sana? Kwanza sio LAZIMA wapige kura maana kupiga kura au kutopiga kura ni HAKI YA MSINGI ya kila raia. Lakini wapiga kura wataopiga kura watawachagua viongozi ambao watakuwa viongozi wa hao ambao hawatapiga kura kwa miaka mitano ijayo!!
Hapo veeepeeee!!!!!!
 
Hii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election.

Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga

View attachment 3309663View attachment 3309664

Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?


24/04/2025 Kisutu ndio itatoa majibu ya uelewa wao.

Kama wapigakura watakaofikia Laki tano watajitokeza kushuhudia Jaribio la kumuua Tundu Lisu Kisheria basi Mulilo ataomba Kustaafu kwa hiyari kisha akahiji zake Maka ili asamehewe maovu yake na ya wakubwa zake miungu waliomtuma kuzuia haki na uhuru wa watu..

Kwa kweli Chandema awamu hii ilishindikana kujaza eneo lote la Kisutu mwambieni wazi Tundu kuwa Slogan ya Mbowe ya No reforms No Election irudishwe kwenye halmashauri kuu ili ijadiliwe upya na kuingia kwenye uchaguzi au kususia maana kama watashindwa kwenda kumwangalia Mwenyekiti wao wakati anasubiri kwenda kuuawa kwa sababu ya kesi feki ya uhaini, WANASUBIRI MPAKA MWENYEKITI WAO AUAWE NDIIPO WAJAZANE KWENYE MSIBA basi ni bora hata yeye aende jimboni kwake akagombee na kuachana na watanzania wasiojielewa
 
CCM Wanaumia Mate Hayapiti Kooni Yamekuwa Machungu
Wamefura Kwa Hasira, Hasa INEC
 
Back
Top Bottom