Picha:wana Chit-Chat haya ndio maisha yangu ya hapa jijini london mchana wa leo!!!!!

Picha:wana Chit-Chat haya ndio maisha yangu ya hapa jijini london mchana wa leo!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
950
Karibuni sana wapendwa.
 

Attachments

  • 20131110_141106.jpg
    20131110_141106.jpg
    208.9 KB · Views: 298
London?
London ipi?ya UK?
Hivi uko pia kuna hizo NGOGWE?
 
Ugali kawaida kujipikia maana unga upo.

Hivi ushawahi kula makande huko?
 
Hivi ile ndoa uliisusa moja kwa moja. naona glass moja au ni haka kamchina. Mpigie shansarie awe miss jf please.
 
Last edited by a moderator:
London raha wallahi...........

huo ugali aliesonga hajaupiga piga hata uwe na round shape
 
haha nime miss episode zako Chaichungu.
 
Last edited by a moderator:
Jilie vyako mwaya, ukimaliza hapo shushia na maji ya bomba
 
Back
Top Bottom