CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Kwani Uk hakunaga ngogwe dogo?London?
London ipi?ya UK?
Hivi uko pia kuna hizo NGOGWE?
Mbona mboga kidogo haitoshi! alafu amna nyama
Hahahahahaha.
Nimekupata mpenzi.
London raha wallahi...........
huo ugali aliesonga hajaupiga piga hata uwe na round shape
Hahahahaha.Ugali wa London umesuka rasta...
Ugali wa London umesuka rasta...