Picha:wana Chit-Chat haya ndio maisha yangu ya hapa jijini london mchana wa leo!!!!!

Safi sana, hata hiyo sakafu inaonesha itakua uko maeneo ya -Camberwell Grove hapo jijini london (can't you smell Sarcasm)
 
huyo baba v so funny kuna siku mdau moja hapa JF alisema anaangalia BONGO STAR SUCH, baba v nae akamjibu na mimi pia naangalia ile ya BONGO STAR SEARCH ,dah yaani nilicheka sn.

hahahaaa...... Tena yeboyebo!
 
CHAI CHUNGU na hayo maji ya mengi ulitoka nayo huku huku au huko pia yapo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…