Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:wapi mh.mulugo
Mbona kawaida sana hiyo, si bongo tu:
![]()
Basi tunaelekea kubaya, yasemeni haya sote tuchukue hatua kuanzia ngazi ya familia.Hili jambo ni la kweli nasimamia shule moja ya binafsi ukiwapa mtihani tuu baada ya nusu saa zaidi ya nusu ya darasa wamelala mpaka masaa 2.30 yaishe na ni mitihani yote siyo hesabu tuu. Nitatizo la kizazi cha bongo fleva.watafeli wengi serikali itawapeba kwa maslai ya kisiasa. Wadanganyika sie.
tatizo letu tunaendelea kuwa walinzi wa sheria ambazo hatujui hata zilitungwa na nani, lini na kwa makusudio gani, kazi ku-copy na ku-paste!
Sasa WAZIRI amesema kuwa MTIHANI wa MWAKA HUU watakaofeli watubaki FORM TWO; Hawata panda kwenda FORM THREE... Sasa hawa WAMELALA labda ni PRIVATE SCHOOL sidhani kama Wazazi watalipia MHULA MMOJA MARA MBILI
HALAFU wakifeli TENA ETI WANAFUKUZWA SHULE na watafanya kama PRIVATE CANDIDATE
Hawa wamepumzika tu, sio wakifanya mtihani. Nchi za wenzetu ruksa, nakumbuka unaweza ukawa unakula chips na juice darasani mwalimu akiendelea kufundisha.