PICHA: Wanafunzi wote wasinzia Darasani, nusu saa tu baada ya Mtihani kuanza

PICHA: Wanafunzi wote wasinzia Darasani, nusu saa tu baada ya Mtihani kuanza

Hapo sasa! Kawambwa kazi kwako! Ndalichako utasoma BONGO FLAVA SAFARI HII mpaka bass!
 
:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:wapi Mh.Mulugo,Kawambwa, Baraza la mitihani mpo hapo safari ile ilikuwa bongo fleva safari hii ni TAMTHILIYA NA TAARABU
 
Ameenda kusherehekea muungano wa Zimbabwe na Pemba.
ilo nalo neno naona nae alisizia uko afrika kusini sasa wanafunzi kuonyesha walimuelewa wameamua kukopi na kupest
 
Mbona kawaida sana hiyo, si bongo tu:
sleep-positons-08.jpg


Hawa wamepumzika tu, sio wakifanya mtihani. Nchi za wenzetu ruksa, nakumbuka unaweza ukawa unakula chips na juice darasani mwalimu akiendelea kufundisha.
 
Hili jambo ni la kweli nasimamia shule moja ya binafsi ukiwapa mtihani tuu baada ya nusu saa zaidi ya nusu ya darasa wamelala mpaka masaa 2.30 yaishe na ni mitihani yote siyo hesabu tuu. Nitatizo la kizazi cha bongo fleva.watafeli wengi serikali itawapeba kwa maslai ya kisiasa. Wadanganyika sie.
Basi tunaelekea kubaya, yasemeni haya sote tuchukue hatua kuanzia ngazi ya familia.
 
Jambo hili hutokea pia kwa mtihani wa form 4 hasa somo la Biology. Fuatilia, then wanadai watu wanafelishwa. Kuna madudu sio mchezo. Wanafunzi ni watupu kupita maelezo
 

Sasa WAZIRI amesema kuwa MTIHANI wa MWAKA HUU watakaofeli watubaki FORM TWO; Hawata panda kwenda FORM THREE... Sasa hawa WAMELALA labda ni PRIVATE SCHOOL sidhani kama Wazazi watalipia MHULA MMOJA MARA MBILI

HALAFU wakifeli TENA ETI WANAFUKUZWA SHULE na watafanya kama PRIVATE CANDIDATE
tatizo letu tunaendelea kuwa walinzi wa sheria ambazo hatujui hata zilitungwa na nani, lini na kwa makusudio gani, kazi ku-copy na ku-paste!
Embu nenda ofisi za umma/serikali utaishia mara nyingi kusikia "sheria inasema hivyo" yaani hata mambo yaliyo wazi mtu hawezi 'kuchanganya na zake'!
Wote tunajua kuwa matokeo mabaya ya mitihani Tanzania sio kwa sababu ya ujinga bali uwekezaji wa maana haujafanyika na hata huo mdogo uliofanyika ni wa kisiasa zaidi. Kwani hata pale inapodhiirika wazi kuwa waziri husika anakalia ile nafasi sio kwa ujuzi wake bali 'ushikaji' hakuna hatua inayochukulia.
Hizi marks mpya walizoset ni ndogo sana na hasa kwa standards za kimataifa lakini dalili iliyo wazi endapo itatekelezwa huenda vyumba walivyojenga vya shule za kata navyo kuanzia Form III na IV vikawa vitupu.
Mimi enzi zangu walikuwa wana set wastani wa marks 21 lakini nakumbuka kuna shule Form I ilikuwa na mikondo minne ya wanafunzi kama 60 hivi na baada ya Form II ilibakiwa na mikondo miwil tu baada ya nusu kufeli

 
Hawa wamepumzika tu, sio wakifanya mtihani. Nchi za wenzetu ruksa, nakumbuka unaweza ukawa unakula chips na juice darasani mwalimu akiendelea kufundisha.

Walewale, Ubaguzi wa Ujinga.
 
Duuh.. Akina Mulugo wa baadae hao.. Kazi ipo...
 
Back
Top Bottom