PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

Watanzania wengi uwezo wa kuchanganua mambo ni sifuri, hawaelewi hata chanzo cha matatizo yao.
[emoji28]unajua watu humshabikia jiwe kwa sababu matendo yake hayajawa affect.mfano polepole hawezi kuona mambo ya jiwe ni mabaya maana utawala huu umemnufaisha
 
Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC.

Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga!

View attachment 1591112
Hapo ukichunguza wengi ni graduates maskini ya mungu. Unakuta mtu ana miaka kitaa kazi hajapata kupunguza fedhea anaomba hata deiwaka tu mahali.
 
Back
Top Bottom