Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto.
Jiepusheni nao. Haifai kukaa miaka 30 gerezani kwa sababu ya starehe ya muda mfupi kupitia watoto wa shule. Ukizidiwa, baasi ingia kitaa tafuta afananaye nawe!
Angalizo naomba msinishambulie kwa maneno, jana tu nimeona watu wakitoa offer za taxi stand na wengine bajaj na wengine chips
Kesi ya dogo huwa mbaya unaweza kuhama nchi mazima na havijui kuficha kanasimulia Kila style uliyokaweka na kakutane na askari wa dawati single Maza 😂😂😂umeisha