Chukua hilo jukumu mkuu.Ukimkaza vizuri tu mwenyewe atakubali tatizo watu mnagusa juu juu tu ,piga vizuri mwenyewe atakubali tu
Kenya ili kuweka muhuli kwenye utawala wa wanawake wameua karibia 129 tokea Februali 2025,ni special revolutionJe hii ni kwa wote au ni mtazamo wake?
Anamaanisha kutawaliwa au kuongozwa
Karibuni tujadili
View attachment 3304484
Mh,usingetaja kabila ambalo kwenye jamii yako lipo,haijakaa vizuri sana mkuuHana maana kama shepu za kichaga.
Hovyooo kama mchuzi wa jogoo.