Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshiba maziwa ya ng’ombe hana wasiwasi.Huyo dogo wa kulia yupo serious kweli aone jinsi alivyotokelezea[emoji28]
Tusingezaliana unafikiri nani angebeba box na kutuma hela kwa world remit?Inabidi waafrika tubadilike...mambo ya kuzaana tu bila mpangilio tuwaachie nyani sasa!
Hawa wazungu wanatuona hatuna thamani, hapo anajihisi kama amezungukwa na wanyama pori.
Kwani shida ni kuzaliana, tena ndio safi tuwe wengi. Vyovyote watakavyotuona ni sisi si waoInabidi waafrika tubadilike...mambo ya kuzaana tu bila mpangilio tuwaachie nyani sasa!
Hawa wazungu wanatuona hatuna thamani, hapo anajihisi kama amezungukwa na wanyama pori.
Hapo bado ana bahati je angeshuhudia mbwa anapigwa tofali kwa kupita tu tena kwa amani si ndio angejinyonga kabisaUmenikumbusha kuna mzungu mmoja alikuja TZ Ngorongoro katika kutembelea zile boma za wamasai akakuta kuna mbwa amekondeana balaa mzungu wa watu alifadhaika mno na hakuweza kuendelea na tour ilibidi awe airlifted kurudishwa town na aliondoka nchini siku kadhaa mbele.
Yani kiujumla vacation yake iliharibika kabisa kisa kuona mbwa aliekonda kiasi kile.
Tungekuwa tunazaa kwa mpangilio, usingezaliwa si unajua wewe ni mtoto wa naneInabidi waafrika tubadilike...mambo ya kuzaana tu bila mpangilio tuwaachie nyani sasa!
Hawa wazungu wanatuona hatuna thamani, hapo anajihisi kama amezungukwa na wanyama pori.
Ukipita pare soko ra ma TX unaona mbwa yuko kiti cha mbele kwenye Lexus unashangaa.Hapo bado ana bahati je angeshuhudia mbwa anapigwa tofali kwa kupita tu tena kwa amani si ndio angejinyonga kabisa
Mi nimeshudia kijijini mtoto akijisaidia kinyesi anaitwa mbwa ale,kwa Afrika mnyama hana haki
Hasa kwa wazee matajili wanaoamini pesa yao inakwenda kwenye good cause wanapata amani mioyoni mwao.Wengi wao wanakwenda kuzitumia vibaya picha Kama hizo. Wanaenda kusanya fedha kwa wahisani wakidai kutaka kuwasaidia masikini hao.