Picha wanazopenda kuangalia wanawake kwenye simu zao

Rejea kufanya upya Utafiti wako, ila ninachojua 85% ya Wanawake wakiwa Chobingo na Simu zao 24/7 ni Kuangalia Mitombo na Kunyegeka mno.
 
Wakiwa na nyege huwa wanaangalia lesbian porn trust me.
 
Kuna huyo nilikua nae, kajaza screenshots za Harusi za ki naija(hawajui wahusika),mwamposa na mishono ya vitenge[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona mimi sipo kwenye hili kundi linaitwa wanawake kabisaaaa, mana nimekagua kote sijaona nafit eneo lipi.
 
Unachokisema ni kweli kbs wanawake wengi wanafanya hayo unayosema....

Hawapendi kufanya mambo kwa akulipua lipua
 
Uko sahihi, yaani hata mimi ukiangalia screenshot zangu, na post zilizo save insta, utajua nawaza kufanya nini kwa muda huo...
Kunakipindi nilikuwa nimejaza picha za mama na mtoto mchanga.
Nikajaza pics za rangi na furniture za nyumba..
Then pics za dizain ya gari niliyokuwa nataka ku update!!
Nadhani hii inatokana na kuwa tupo selective, na pia tunafanya utafiti ili kujiridhisha na vitu tunavohitaji.....
And lastly kuweza kumshawishi fazahouse...maana mara nyingi wanaume wanapenda uwashawishi kwa kuwapa Cleary infos...
Ukienda kichwa kichwa wazo lako litatupiliwa kwa dustbin!!!!!!!
 
You are right.

Hasa hapo kwenye part ya kushawishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…