Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Kwa namna hii unaachaje kuwa kiasali!!!?
Heri ya mwaka mpya
Thank you Kiasali, Happy New Year 🎊
Much love to the whole 2021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa namna hii unaachaje kuwa kiasali!!!?
Heri ya mwaka mpya
Rejea kufanya upya Utafiti wako, ila ninachojua 85% ya Wanawake wakiwa Chobingo na Simu zao 24/7 ni Kuangalia Mitombo na Kunyegeka mno.Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu.
Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe,
Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee,
1. Kama ni mja mzito ;
Atakua anaangalia vinguo vya watoto wa kiume na kike.
2. Kama anakaribia kuolewa au ana tamani kuolewa;
Atakua anatazama picha za magauni ya Harusi au picha za harusi za ndugu zake au marafiki.
3. Kama kashaolewa ;
Atakua anaangalia picha za mapazia na vitu vingine vya ndani kama maforonya etc.
4. Kama hajaolewa ila financially yuko stable au ana sponsor ;
Atakuwa anaangalia picha za mabegi mapya, style mpya za misuko, rangi za kucha, kope, viatu vipya, magauni , perfume, lipstick n.k.
Hao ndio wanawake na picha wanazopenda kuangalia kwenye simu zao.
Wakiwa na nyege huwa wanaangalia lesbian porn trust me.Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu.
Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe,
Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee,
1. Kama ni mja mzito ;
Atakua anaangalia vinguo vya watoto wa kiume na kike.
2. Kama anakaribia kuolewa au ana tamani kuolewa;
Atakua anatazama picha za magauni ya Harusi au picha za harusi za ndugu zake au marafiki.
3. Kama kashaolewa ;
Atakua anaangalia picha za mapazia na vitu vingine vya ndani kama maforonya etc.
4. Kama hajaolewa ila financially yuko stable au ana sponsor ;
Atakuwa anaangalia picha za mabegi mapya, style mpya za misuko, rangi za kucha, kope, viatu vipya, magauni , perfume, lipstick n.k.
Hao ndio wanawake na picha wanazopenda kuangalia kwenye simu zao.
AiseeWakiwa na nyege huwa wanaangalia lesbian porn trust me.
John madhambiKwa kesi hiyo itabidi amuone tu View attachment 1664273huyu docta kwa ushauri zaidi
Happy New year Depal.Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee nimejikuta napenda kuangalia harusi harusi hivi huwa sikosi kwa page za maMCs basi tu naenjoy😀kama anatamani kuolewa huwezi kumkosa kwa McGarab, McPilipili, eastafrican weddings, haikalawere n.k.
Umemsahau Irene Mbowe Kungikama anatamani kuolewa huwezi kumkosa kwa McGarab, McPilipili, eastafrican weddings, haikalawere n.k.
Thank you Transcend.Happy New year Depal.
Anakua anaangalia picha zanguKama ana ugwadu?
Uko sahihi, yaani hata mimi ukiangalia screenshot zangu, na post zilizo save insta, utajua nawaza kufanya nini kwa muda huo...Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu.
Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe,
Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee,
1. Kama ni mja mzito ;
Atakua anaangalia vinguo vya watoto wa kiume na kike.
2. Kama anakaribia kuolewa au ana tamani kuolewa;
Atakua anatazama picha za magauni ya Harusi au picha za harusi za ndugu zake au marafiki.
3. Kama kashaolewa ;
Atakua anaangalia picha za mapazia na vitu vingine vya ndani kama maforonya etc.
4. Kama hajaolewa ila financially yuko stable au ana sponsor ;
Atakuwa anaangalia picha za mabegi mapya, style mpya za misuko, rangi za kucha, kope, viatu vipya, magauni , perfume, lipstick n.k.
Hao ndio wanawake na picha wanazopenda kuangalia kwenye simu zao.
You are right.Uko sahihi, yaani hata mimi ukiangalia screenshot zangu, na post zilizo save insta, utajua nawaza kufanya nini kwa muda huo...
Kunakipindi nilikuwa nimejaza picha za mama na mtoto mchanga.
Nikajaza pics za rangi na furniture za nyumba..
Then pics za dizain ya gari niliyokuwa nataka ku update!!
Nadhani hii inatokana na kuwa tupo selective, na pia tunafanya utafiti ili kujiridhisha na vitu tunavohitaji.....
And lastly kuweza kumshawishi fazahouse...maana mara nyingi wanaume wanapenda uwashawishi kwa kuwapa Cleary infos...
Ukienda kichwa kichwa wazo lako litatupiliwa kwa dustbin!!!!!!!
Umeniwahi kuuliza ko sina budi KUKAZIA kwa herufi kubwa.Kama ana ugwadu?
[emoji23][emoji23]