Kuna watu humu ni mazuzu, kweli chama cha mboga mboga kina mizoga tupu...! Eti li mtu lina compare picha za watu waliokua wanajaa kwa lowasa 2015 na asaiv kwa lissu afu linasema upinzani ndio ulikua na nguvu kipindi hicho...
Skieni nyie mazuzu na mizoga ya lumumba, kipindi hicho UKAWA waliungana ndio maana kulikua na mafuriko ya watu wa vyama vyote vya upinzani kwenye mkutano wa mgombea mmoja waliomuweka, hivyo kulinganisha picha za lowasa na lissu ni ufinyu wa akili uliotukuka....
Kingine kipindi hicho MEDIA zote zilikua huru kutangaza taarifa na ratiba zote za mikutano ya kampeni za vyama vyote bila upendeleo, Asaiv watu tunafatilia kupitia social networks za wazungu kama WhatsApp, Twitter, JF, Telegram, Facebook na YouTube.... Kwaio upatikanaji wa taarifa kwa bibi & babu zetu huko vijijini wanaotegemea Radio Free Africa, TBC, Radio One n.k unakua mgumu kwa kutokana na kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari.... CDM wanajaza watu ki halali bila extra force kutumika ila, Meko kujaza kwenye hii mikutano anatumia ushawishi wa mauno ya Diamond, Alikiba, Zuchu, Harmonie n.k ambao ni wasanii wanaopendwa na hiki kizazi kipya ndo wanaboost mikutano yake ndo maana hata wanafunzi na vitoto vidogo tunaviaona mikutano ya Meko sabu vingine vina full lyrics kichwani za vyimbo za hao wasanii wenu kuliko definitions za masomo so wakiwa wana perform staging vinafurahi tu kuigiliza nyimbo zao....[emoji23][emoji23]
Bila wasanii Meko angekua kituko kwenye kampeni zake...... Mboga mboga hamna kitu kabisa ni matapeli ya fikra za mlala hoi wa nchi hii...