Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

Jongwe
 
CCM inabidi wabadili utaratibu.Sio lazima raisi aliyeko madarakani aendelee kugombea baada ya miaka mitano kwisha .Hii ingewaepusha na hizi changamoto zinazotokea sasa.Unaona kabisa mgombea hauziki lakini bado kunalazimishwa!
 
So so sad yani. Ndio maana Tundu Lissu anauchungu sn na haya majizi ccm kuanzia mwenyekiti wao fisadi
We are even crying while witnessing such crimes in our only county Mama Tanzania. And yet there our fellow country citizens or their puppets who dare to praise thief's.
 
Kubwa kuliko tuliaminishwa upinzani umekufa lakini sielewi hao wanaoenda kwa lisu wametoka wapi, kwa nilivyokuwa naskia sikutegemea lisu kufikisha watu hata mia lakini kinyume chake watu wanajitokeza mikutanoni
Sasa hivi wamekuja na jipya eti wengi wanaokwenda kwenye mikutano ya Lissu hawana vichinjio.Kila siku mbogamboga wanaibuka na mapya🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ni kweli, wale watu wa mkoa wa kagera hawana maujinga, wamemwambia magufuri hatukutakiii, kwa hasira akawaambia msiponipigia kura mtaona, lakini pia aliagiza polisi wawakamate wale waliosikika wakisema hatukutakii
Hii habari haina hata ushaidi wa sauti wala video, kila mtu anasema nasikia nasikia mbona mengine yanakuwaga na ushahidi. Niliamua hadi ingiakwenye makundi ya wanakagera labda nipata video, wengi wao waliokuwepo uwanjani wanashangaa kuhusu hii habari, na wanaounga mkono nao wanasema wamesikia.
 
Vyama vya upinzani....hasa Chadema inabidi wapongezwe kwa kweli....kwa ma
Anachosahau pia kipindi hicho media zilikuwa huru, wananchi walikuwa huru, vyama vilikuwa huru, hivyo hata mikutano ilikuwa ikitangazwa kwenye vyombo vya habari.

Leo hii watu wanaitana kwenye mikutano kwa WhatsApp tu
Kweli kabisa...kipindi hicho cha kina Slaa na Lowassa... manzingira ya kisiasa hayakuwa kama kipindi hiki....hivyo Chadema na Lissu kwa ujumla wake wanahitaji kupongezwa....miaka mitano chama hakijafanya mikutano na shughuli zote za kisiasa kutokana na marufuku.... na kesi za kumwaga mahakamani....vipi kama wangeruhusiwa kufanya harakati za kisiasa... nadhani kwa sasa ingekuwa tofauti na ilivyokuwa kwa kina Slaa
 
We are even crying while witnessing such crimes in our only county Mama Tanzania. And yet there our fellow country citizens or their puppets who dare to praise thief's.
So so sad yani. Ndio maana Tundu Lissu anauchungu sn na haya majizi ccm kuanzia mwenyekiti wao fisadi
 
Picha ya kuombea mkopo hii
 
Tofauti ya mikutano ya ccm na CDM ya ccm bila wasanii aijazi, pili imepooza Kama wamelazimishwa kuja, wanaoshangilia Ni wachache Tena waliokaa mbele pekee na waliovaa jezi za kijani, jezi za kijani zimetawala. Mikutano ya cdm furaha na hamasa shamrashamra mwanzo mwisho Hadi wanatamani mkutano usimalizike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…