kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
JongweNawasilimu wakazi wa JF!
Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili.
Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya ndani kutoka kumoyo.
Hizi ni zile picha ambazo LISSU hatumii wanafunzi, Wasanii na kusomba watu kwa kuwapa elfu tano ili kujaza idadi.
Mama Nyerere aliongea wazi aliletwa kuongeza idadi hakuwa tayari kuja[emoji23][emoji23]
Basi naomba tuzitupie picha hapa, wakipaniki tunaongeza spana.
Ni yeye 2020.