Picha: watoto wa congo waliokatwa mikono na leopard kama adhabu ya kutoleta mpira

Picha: watoto wa congo waliokatwa mikono na leopard kama adhabu ya kutoleta mpira

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
ilianzishwa kama Dola huru la Kongo likiwa mali binafsi ya mfalme Leopold II wa Ubelgiji. Historia yake ni ya aibu na ya ukatili kupindukia.

Utawala wa mfalme ulionekana kuwa wa kinyama na upinzani dhidi yake ulikua katika nchi nyingi za dunia.

Hatimaye alipaswa kukabidhi koloni lake binafsi mikononi mwa serikali ya Ubelgiji iliyomlipa fidia kwa mali aliyoacha.

Kati ya mwaka 1908 hadi 1960 ilikuwa koloni la Ubelgiji baada ya kuhamishiwa mikononi mwa serikali ya Ubelgiji.

Alilazimisha wanakijiji wachume zao la mpira huku akitoa adhabu ya kukatwa mikono kama hukuleta mpira.Takribani watu million 10 waliuwawa kwenye utawala wa king leopard

Wakongo wameanza kuteseka Toka zamani kisa utajiri waliobarikiwa nao.
 

Attachments

  • MutilatedChildrenFromCongo.jpg
    MutilatedChildrenFromCongo.jpg
    576.3 KB · Views: 55
Back
Top Bottom