PICHA: Waziri Kombo aibu hii umeonesha mbele ya Katibu Mkuu wa UN, António Guterres

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.

1000069060.jpg
​

Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.

Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Sofa dogo mtu mrefu na position ya uelekeo wa masofa hayo umemlazimisha kukaa namna hiyo ili aweze ku grasp kinachozungumzwa.

Pia Kuna wakati tabia(INBORN )huvunja protocol ukiangalia pale juu Kuna picha ya kiongozi mkubwa ameshika kiuno akiuliza WHO ARE YOU?
 
Jamaa hizi sio tabia za kiume ,ebu tafuta kazi huko ukimbizini fanya kazi sio umbea
 
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una haibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.

View attachment 3515684

Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.

Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Mbona kakaa kama bwabwa?
 
Anaonesha amezoea kukaa kwenye mikeka, huo ukunjaji wa miguu ni kawaida kwa wenzetu waislamu wawapo msikitini au wakati wa kupiga punga.
 
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.

Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.

Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Amekaa kama mtu anayetaka kuachia ushuzi kisirisiri.
 
Nyumbu sahivi mnachambua hadi mikao , hii ni hasira baada ya kudhibitiwa na mkashindwa kufanya unyumbu wenu wa maandamano uchwara ya wizi na uharibifu wa mali.
Jamaa kala maharage yake halafu anaenda kupumua mbele ya kiongozi mkubwa wa UN na kuharibu hali ya hewa halafu bado unamsifia?
 
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.

Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.

Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Huu ni ulaji mwingine kwa nini apeleke si angetuma Balozi wa kudumu anayewakilisha nchi kwenye Umoja wa Mataifa
 
Sofa dogo mtu mrefu na position ya uelekeo wa masofa hayo umemlazimisha kukaa namna hiyo ili aweze ku grasp kinachozungumzwa.

Pia Kuna wakati tabia(INBORN )huvunja protocol ukiangalia pale juu Kuna picha ya kiongozi mkubwa ameshika kiuno akiuliza WHO ARE YOU?
Vipi na mikono tukiachana na Anchor points Kama miguu ?
 
Posture nzima Yani body language inaonesha mengi yanapita kichwani na ili kushusha kiwango Cha shinikizo inabidi acheze na vidole aidha kwa kuvivunja au kusafisha kucha
ukiangalia macho ni kama anajaribu kumzoma mwenzake angalau aone ata react vipi na kilicho andikwa kwenye ujumbe
 
Nyumbu wa mbogamboga na serikali yao hawana muda mrefu wa kuendelea kupumua lazima wafe.
 
Posture nzima Yani body language inaonesha mengi yanapita kichwani na ili kushusha kiwango Cha shinikizo inabidi acheze na vidole aidha kwa kuvivunja au kusafisha kucha
ukiangalia macho ni kama anajaribu kumzoma mwenzake angalau aone ata react vipi na kilicho andikwa kwenye ujumbe
Yeah, Litmus Paper .
 
Back
Top Bottom