PICHA: Waziri Kombo aibu hii umeonesha mbele ya Katibu Mkuu wa UN, António Guterres

PICHA: Waziri Kombo aibu hii umeonesha mbele ya Katibu Mkuu wa UN, António Guterres

Natonywa kapeleka barua ya kujisafisha na kuomba radhi huku akimuomba guteres aje kutembea nchini 😂 .

Sababu official later huwa haisomwi mbele ya "MIMI TU NIMETUMWA"
Upinzani andikeni barua kwenda UN
Kwa nini wanafanya haya?
Copy kwa Balozi zote

Upinzani na mashirika ya kutetea haki za binadamu kwanza muiandikie balozi ya Marekani kujua waliongea nini na serikali haramu

Wasumbueni international communities
Safari bado ni ndefu sana!
 
Hito style aliyokaa ni kama ile ya mbwa waoga wanavyoingiza mkia matakoni wakutanapo na tishio la kiusalama wanaita kuufyata mkia
 
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.


Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.

Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Haka kazee nako kakorofi, yaani mpaka kamalize kusoma yuko hapo hapo?
 
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.


Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.

Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
"MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo. December hii tukupike supu😁😁😁
 
Back
Top Bottom