Mbona kakaa kama bwabwa?Ukaaji wako pichani unadhihirisha una haibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.
View attachment 3515684
Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.
Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Anaonesha amezoea kukaa kwenye mikeka, huo ukunjaji wa miguu ni kawaida kwa wenzetu waislamu wawapo msikitini au wakati wa kupiga punga.Ukaaji wako pichani unadhihirisha una haibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.
View attachment 3515684
Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.
Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Amekaa kama mtu anayetaka kuachia ushuzi kisirisiri.Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.
Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.
Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Jamaa kala maharage yake halafu anaenda kupumua mbele ya kiongozi mkubwa wa UN na kuharibu hali ya hewa halafu bado unamsifia?Nyumbu sahivi mnachambua hadi mikao , hii ni hasira baada ya kudhibitiwa na mkashindwa kufanya unyumbu wenu wa maandamano uchwara ya wizi na uharibifu wa mali.
Huu ni ulaji mwingine kwa nini apeleke si angetuma Balozi wa kudumu anayewakilisha nchi kwenye Umoja wa MataifaUkaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.
Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.
Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
Vipi na mikono tukiachana na Anchor points Kama miguu ?Sofa dogo mtu mrefu na position ya uelekeo wa masofa hayo umemlazimisha kukaa namna hiyo ili aweze ku grasp kinachozungumzwa.
Pia Kuna wakati tabia(INBORN )huvunja protocol ukiangalia pale juu Kuna picha ya kiongozi mkubwa ameshika kiuno akiuliza WHO ARE YOU?
Posture nzima Yani body language inaonesha mengi yanapita kichwani na ili kushusha kiwango Cha shinikizo inabidi acheze na vidole aidha kwa kuvivunja au kusafisha kuchaVipi na mikono tukiachana na Anchor points Kama miguu ?
Yeah, Litmus Paper .Posture nzima Yani body language inaonesha mengi yanapita kichwani na ili kushusha kiwango Cha shinikizo inabidi acheze na vidole aidha kwa kuvivunja au kusafisha kucha
ukiangalia macho ni kama anajaribu kumzoma mwenzake angalau aone ata react vipi na kilicho andikwa kwenye ujumbe