Upinzani andikeni barua kwenda UNNatonywa kapeleka barua ya kujisafisha na kuomba radhi huku akimuomba guteres aje kutembea nchini 😂 .
Sababu official later huwa haisomwi mbele ya "MIMI TU NIMETUMWA"
Haka kazee nako kakorofi, yaani mpaka kamalize kusoma yuko hapo hapo?Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.
Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.
Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo.
"MIMI TU NIMETUMWA" ila mwenyewe yupo. December hii tukupike supu😁😁😁Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.