Picha;-Wazungu waja na data kwanini ni nchi yao, kanuni wa kwanza ndiyo mwenye eneo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Ha ha ha !
1000014653.jpg
 
Kabla hawajaja hapakuwa na watu?

walikuwepo lkn walikuwa siyo wazulu, wabantu (wazulu, xhosa ni wabantu) wote wametokea west afrika and moved downwards (ni worlds largest human migration in history ), watu asilia wa eneo la afrika kusini kwanza mpaka hapa kwetu ni khoisan wana undungu na wahadzabe na wasandawe hao ndiyo asilia wa hili eneo tunaloita tanganyika leo hii, btw wazaramo wa eneo tunaloliita dar walitokea tanga ni wasambaa na wao dar walikuja tu lkn siyo native wa dar ...
 
walikuwepo lkn walikuwa siyo wazulu, wabantu wote wametokea west afrika and moved downwards (ni worlds largest human migration in history ), watu asilia wa eneo la afrika kusini kwanza mpaka hapa kwetu ni khoisan wana undungu na wahadzabe na wasandawe hao ndiyo asilia wa hili eneo tunaloita tanganyika leo hii, btw wazaramo wa eneo tunaloliita dar walitokea tanga ni wasambaa na wao dar walikuja tu lkn siyo native wa dar ...
Anyway haya mambo ya ardhi kadri unavyorudi nyuma unakuja kugundua hakuna mwenye ardhi kila mtu kaikuta.
 
ndiyo maana, binafsi ningependa watu tuishi tu pamoja, sielewi ni kwa nini south afrika wanataka kuwafukuza wazungu na kuwapora ardhi wakati wamewekeza fedha, wameajiri watu, wanachangia kwa kiasi kikubwa sana kwenye uchumi na exports pamoja na ajira.

kwa mfano south afrikan wine is one the best duniani wana-export dunia nzima sasa kwa nini uharibu uchumi kama huo? ni sawa na zimbabwe tu waliharibu kilimo leo hii mashamba waliopora yamekaa tu kama mashamba ya tanzagiza hakuna kilimo cha maana kinafanyika, wazimbabwe wanahangika dunia nzima wakitafuta kazi wamejaa sa, botswana, namibia wanatafuta kazi kwa sababu ya siasa za kijinga kwa maoni yangu ...
 
walikuwepo lkn walikuwa siyo wazulu, wabantu (wazulu, xhosa ni wabantu) wote wametokea west afrika and moved downwards (ni worlds largest human migration in history ), watu asilia wa eneo la afrika kusini kwanza mpaka hapa kwetu ni khoisan wana undungu na wahadzabe na wasandawe hao ndiyo asilia wa hili eneo tunaloita tanganyika leo hii, btw wazaramo wa eneo tunaloliita dar walitokea tanga ni wasambaa na wao dar walikuja tu lkn siyo native wa dar ...
Thank atleast umefafanua kidogo!
 
Anyway haya mambo ya ardhi kadri unavyorudi nyuma unakuja kugundua hakuna mwenye ardhi kila mtu kaikuta.
Zamani ilikuwa unaenda mahala unakaa,"ndiyo pako"hapo😃nadhini hii principle ilikuwa aplied toka karne kwa karne!....mungu hakuumba ardhi tuuziane,ispokuwa kulikuwa na miji yenye wenyeji,unaenda unaomba unakatiwa unaanza KUISHI.
 
ndiyo maana, binafsi ningependa watu tuishi tu pamoja, sielewi ni kwa nini south afrika wanataka kuwafukuza wazungu na kuwapora ardhi wakati wamewekeza fedha, wameajiri watu, wanachangia kwa kiasi kikubwa sana kwenye uchumi na exports pamoja na ajira.

kwa mfano south afrikan wine is one the best duniani wana-export dunia nzima sasa kwa nini uharibu uchumi kama huo? ni sawa na zimbabwe tu waliharibu kilimo leo hii mashamba waliopora yamekaa tu kama mashamba ya tanzagiza hakuna kilimo cha maana kinafanyika, wazimbabwe wanahangika dunia nzima wakitafuta kazi wamejaa sa, botswana, namibia wanatafuta kazi kwa sababu ya siasa za kijinga kwa maoni yangu ...
Labda dunia iamue kuwa uraia usiwe kwa race maana hakuna mtu aliyeumba ardhi yake kila mtu kakuta.
 
tatizo linakuja kwenye mifumo, capitalism vs communism, wakati capitalism inaendana na umiliki communism hauruhusiwi/haupaswi kumiliki chochote, sasa kwenye capitalism ardhi ni lazima imilikiwe na ardhi ina thamani maana yake unaweza kuwekeza kurithisha familia yako bila ya mtu kukuhoji vs communism ardhi yote ni mali ya serikali na wananchi wamepanga.

kwa kifupi umiliki wa mali na ardhi ndiyo kiini cha capitalism wakati communism ni kinyume chake na ndiyo ugomwi wote uko hapo, kwa mfano serikali ya tanzagiza ilifukuza wamasai ktk kwenye maeneo yao ya asili na wamasai hakuna kitu wanaweza kufanya kwa maana hawamiliki chochote sheria ya tanzagiza hakuna anayemiliki ardhi, ardhi yote ni mali ya serikali na serikali raisi wa nchi ndiyo bosi ( thats why ni lzm tuwe waangalisfu sana ni nani tunamruhusu awe raisi wa tanzagiza) vs kama ingekuwa capitalism serikali isingeweza kuwafukuza wamasai kwa maana wangelindwa na katiba ambayo inatambua private ownership au hata sasa hivi pia waarabu wanafurumusha wananchi wilaya ya tmk kupisha makontena hao wananchi hawana jinsi hakuna mahali wataenda kwa maana they dont own anything vs capitalism hilo lisingewezekana.

hivyo shida inakuja kwenye mifumo, sasa wazungu kihistoria ni capitalists i.e wanafwata mfumo wa capitalism hivyo hayo mashamba ni lazima wayamiliki ili waweze kuyafanya yawe productive vinginevyo hakuna ambaye atakukopesha kama ardhi siyo yako vs waafrika wote (karibia) ni communists au wanamilikiwa na communists na hapo ndipo shida na ugomvi wote ulipo na mambo ya rangi au ubaguzi ni byproduct tu lkn siyo chanzo kwa maoni yangu.
chanzo bi kwamba wazungu ni capitalists wakati waafrika ni communists au wanamilikiwa na communists na hiyo ni mifumo 2 ambayo inapigana vita kila mmoja ukitaka kutawala dunia, sasa communists ni wazuri sana kwenye propaganda na kudanganya "masikini" kwamba wanaonewa na kwamba wao (waafrika) ni masikini kwa sababu ya capitalism jambao linalopelekea waafrika kutumia muda wao wote kupinga capitalism badala kujifunza na kuwa capitalist pia lkn sasa waafrika wakiwa capitalists maana yake ni kwamba communism imeshindwa na before that happens communists watafanya kila wawezalo kuwabakiza waafrika kwenye minyonyoro i.e eternal poverty ...
 
Wewe ni mfuasi wa ubepari si ndio?
 
Back
Top Bottom