Picha;-Wazungu waja na data kwanini ni nchi yao, kanuni wa kwanza ndiyo mwenye eneo!

Picha;-Wazungu waja na data kwanini ni nchi yao, kanuni wa kwanza ndiyo mwenye eneo!

ndiyo maana, binafsi ningependa watu tuishi tu pamoja, sielewi ni kwa nini south afrika wanataka kuwafukuza wazungu na kuwapora ardhi wakati wamewekeza fedha, wameajiri watu, wanachangia kwa kiasi kikubwa sana kwenye uchumi na exports pamoja na ajira.

kwa mfano south afrikan wine is one the best duniani wana-export dunia nzima sasa kwa nini uharibu uchumi kama huo? ni sawa na zimbabwe tu waliharibu kilimo leo hii mashamba waliopora yamekaa tu kama mashamba ya tanzagiza hakuna kilimo cha maana kinafanyika, wazimbabwe wanahangika dunia nzima wakitafuta kazi wamejaa sa, botswana, namibia wanatafuta kazi kwa sababu ya siasa za kijinga kwa maoni yangu ...
tuko njia moja na hao jamaa wa sa
 
Back
Top Bottom