Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
nachukia sana tabia ya mwanaume mzima kuvalia suruali mapajani
Jamani hii ni asubuhi ya saa ngapi? mbona tunafanyana wote kama mazuzu?Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond juzi asubuh Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja na Waghana...Diamond Ameambatana na Manager Wake Babu Tale....Have a Nice Trip Brodaaa
Jamani hii ni asubuhi ya saa ngapi? mbona tunafanyana wote kama mazuzu?
Kila la kheri domo.....eh wema kipara umepeleka wapi...?
zamani nilijuaga hao watu wanamapesa mengi...
Nilishangaa siku moja tulisafiri na msanii fulani maarufu sana hapa bongo lakini akapanda economy class mie wa kada ya chini nikapanda business class hapo ndipo nikaona hao mbwembwe tu usikute hata huyo ndomo anapanda economy class
ngoja heaven on desert aje akupe jibu.
Kila la kheri domo.....eh wema kipara umepeleka wapi...?
Sio huyo. Heaven on Earth
Kwa hiyo ww ulianza kufika kabla ya huyo msanii wa economy class. Kwani nini maana ya economy we mswahili mwenye mbwembwe
Njaa wivu na chuki ndio vinamsumbuwa, Diamond alikwenda kwenye show Mwanza na alikodi ndege sasa muulize huyo ushuzi ameshawahi kukodi ndege tangu azaliwe?Kwa hiyo ww ulianza kufika kabla ya huyo msanii wa economy class. Kwani nini maana ya economy we mswahili mwenye mbwembwe
Njaa wivu na chuki ndio vinamsumbuwa, Diamond alikwenda kwenye show Mwanza na alikodi ndege sasa muulize huyo ushuzi ameshawahi kukodi ndege tangu azaliwe?