Picha: Wema akimsindikiza baby wake Diamond Uwanja wa Ndege

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond juzi asubuh Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja na Waghana...Diamond Ameambatana na Manager Wake Babu Tale....Have a Nice Trip Brodaaa
 
Nadhani atakuja na video ya ukweli.

Sikujua manager wa Diamond ni Babu Tale
 
Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond juzi asubuh Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja na Waghana...Diamond Ameambatana na Manager Wake Babu Tale....Have a Nice Trip Brodaaa
Jamani hii ni asubuhi ya saa ngapi? mbona tunafanyana wote kama mazuzu?
 
zamani nilijuaga hao watu wanamapesa mengi...

Nilishangaa siku moja tulisafiri na msanii fulani maarufu sana hapa bongo lakini akapanda economy class mie wa kada ya chini nikapanda business class hapo ndipo nikaona hao mbwembwe tu usikute hata huyo ndomo anapanda economy class
 
Kila la kheri domo.....eh wema kipara umepeleka wapi...?
 
zamani nilijuaga hao watu wanamapesa mengi...

Nilishangaa siku moja tulisafiri na msanii fulani maarufu sana hapa bongo lakini akapanda economy class mie wa kada ya chini nikapanda business class hapo ndipo nikaona hao mbwembwe tu usikute hata huyo ndomo anapanda economy class

Kwa hiyo ww ulianza kufika kabla ya huyo msanii wa economy class. Kwani nini maana ya economy we mswahili mwenye mbwembwe
 
Njaa wivu na chuki ndio vinamsumbuwa, Diamond alikwenda kwenye show Mwanza na alikodi ndege sasa muulize huyo ushuzi ameshawahi kukodi ndege tangu azaliwe?
 
mijitu mingine sifaa tuu mkuu...,usijekuta kahadithiwaa
 
Back
Top Bottom