Picha: Wema arudi upya Instagram, ahaidi makubwa 2017

Malkia wa bongo movie?
Shamsa ford aitwe nan?
Wolper...uwoya..lulu
Kwanza ni kwanini wanamwita malikia?

Ana kipi cha ziada alichofanya kwenye tasnia ya filamu bongo kuliko wenzake kiasi cha yeye kutunukiwa cheo cha "umalikia"?
 
Amerudi na mradi gani kuturambisha ndimu?
 
Au ile movie ya van vicker ya miaka ileee bila kusahau ule uzinduzi wa movie yake ambayo haijatoka hadi wa leo.
Naona ndo kitu chenyewe kipya alichokuja nacho mwka huu, atupishe
 
Au ile movie ya van vicker ya miaka ileee bila kusahau ule uzinduzi wa movie yake ambayo haijatoka hadi wa leo.
anataka kuizma arobaini ya nirran mchwi h yo hana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…