Picha ya Harmonize akiwa uchi na kipichu inahuzunisha sana

Mpigamimba

Senior Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
198
Reaction score
237
Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu.

Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama nimeachwa na nimpendaye ni siri ya ndani. Niliapa kwamba nitamshauri Harmonize na kama utaamua kuchukua ushauri atajijengea heshima.

Kwanza anamuona Ali kiba? Uvaaji wake, wewe kijana wa kiimani vaa hata kanzu basi. Na acha kumbembeleza mwanamke.

Mwanaume lijali, analiliwa na wanawake, mwanaume anamhangaikia mwanamke baada ya kutongozana na kukubaliana ndipo nakununulia hata pri-jet. Achana na kuwanyenyekea wanawake, wanakutia aibu. Vaa vema, acha kutoboa masikio na pua, acha yazibe.

Badili uvaaji hata uwapo stejini. Tulia utapata mwanamke saizi yako, mzuri katika imani. Badili move zako, mrudie yule mtoto uliyemzalilisha, mwenye shida ya miguu.

Bila hivyo utaishi na maneno mabaya na laana.
 
Acha umbea
 
..
Screenshot_2022-12-01-15-25-58-22_682dca849715e30471092793db41cbe3.jpg
 
Back
Top Bottom