92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Hapo kapendeza ila angetakiwa ageuze na matiko tuyaone naskia ni malaini sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waacheni wafanye wanavyojiskia sisi tuendelee kuenjoy.
Huyo unaesema anamnyenyekea ni sawa tu kwakua naye ni binadamu imagine ingekua dada ako ndo anafanyiwa vile ungekataza pia? Uzi una harufu ya chuki mwacheni mwamba aishi maisha yake hakuna mkamilifu humu duniani