Angebaki na muonekano wake wa zamani ingekuwa poa sasa hiv anaonekana kama mgambo aliyotokea kijijini na kingine picha zake nyingi za sasa anazopiga utazani anatumia camera ya tochi.
anatuaibisha sana wamakonde huyu jamaa
ππππMi naona blauzi..
tatizo la konde ni kuiga iga ujinga hapo tu ndo anaharibuMi naona sawa tu, akifanya Mondi hakutakuwa na kelele ila akifanya mwingine ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app