Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani anajihisi ana kifua kizuriHuyu jamaa tatizo lengine lazima kila shutingi zake lazima avue shati sijui ndo masharti ya mganga!?
Watani zangu wamakonde mnakula panya mna maana gani nyie?2019,
anatuaibisha sana wamakonde huyu jamaa
Unataka avue surualiHuyu jamaa tatizo lengine lazima kila shutingi zake lazima avue shati sijui ndo masharti ya mganga!?
Kila msuko ni wa kike, wanajozingusha tu hao, kizazi kipya, tangu lini kuna msuko wa kiume.duuhh ..kumbe kuna misuko ya kike na ya kiume?