Picha ya Konde Boy inakosolewa sana na wadau mpaka naona kama hana shabiki baada ya kutoka Wasafi

Kwa huu mwonekano dogo alikua vizuri
Yaani kipindi naanza kuwa shabiki wao nilikua nashindwa kuwatofautisha kati ya huyu dogo na dogo domo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angebaki na muonekano wake wa zamani ingekuwa poa sasa hiv anaonekana kama mgambo aliyotokea kijijini na kingine picha zake nyingi za sasa anazopiga utazani anatumia camera ya tochi.
Nasikia Mondi anapigwa picha mia angle tofauti hadi domo lake lisipoonekana kubwa ndio wanapost
 
kawa kama kaka jambazi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…