Picha ya Konde Boy inakosolewa sana na wadau mpaka naona kama hana shabiki baada ya kutoka Wasafi

mwanaume kunywa twist inahitaji ujitwist akili pia si mchezo
 
halafu mbaya zaidi corona inawaacha..

Kwanini isiwapate wachawi Kama nyie hapa.. Mnaoponda jitihada za watu..

Mpaka li Mshana Jr na lenyewe eti lipo kwenye huu upuuzi
 
halafu mbaya zaidi corona inawaacha..

Kwanini isiwapate wachawi Kama nyie hapa.. Mnaoponda jitihada za watu..

Mpaka li Mshana Jr na lenyewe eti lipo kwenye huu upuuzi
Ila wewe pia ni mmoja wapo SEMA tu hapo ajaguswa msanii usiompenda.
 
hivi vitu ni va kina hamorapa jamani ye ataviwezea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole pole jamaa anabadilika kutoka Konde boy anakuwa kijana wa kimakonde
 
Huyu jamaa tatizo lengine lazima kila shutingi zake lazima avue shati sijui ndo masharti ya mganga!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…