Picha ya kufungia mwaka hii hapa

Kwa hiyo kura yako moja ?
Kura haziamui nani ashinde.


Japo SIIPENDI CCM, ila hata kwa wizi, fujo, mauaji, fitina na hadaa bado CCM wataendelea kuwa viongozi kwa miaka mingi ijayo.

Mkitegemea mtaingia madarakani kwa kutegemea sanduku la kura sijui katiba mpya ooh mara tume huru ya uchaguzi SAHAUNI KUSHIKA HATAMU YA UONGOZI TAIFA HILI.

N.B VYama vyote vya upinzani ni mali ya CCM, ingawa kuna baadhi ya wapinzani wasio viongozi wakuu wa hivyo vyama wao ni WAPINZANI wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…