Picha ya kufungia mwaka hii hapa

Huyo Afande namfahamu nilishawahi muonaga huko Kilolo nilipoenda kwenye shamba langu la miti. Ni afande ambaye yuko peace sana ndio maana kapiga picha na Sugu.
 
Hivi kwa mwonekano huu sugu akiwa faragha tumbo na kifua ni kama puto kubwa wakati miguu ni kama sindano!
Aiseeee, nimecheka sana. Jongwe ni Giant sana ukimuona physically. Sisi watu wa Mbeya tunajua jinsi alivyo huyo Jongwe. Amekaa kama watu wa Nyanda za Juu kusini tulivyo.
 
Haifahamiki unaongelea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…