Picha ya Kwanza ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Hawa bongomovie kam vile hawajielew
 
Kama dai na zari tu
Nothing new!
Diamond ana afadhari. Amekomaa. Zaidi ya dogo Janja. Na hata kimaumbile diamond amemzidi urefu zari.
Ila uwoya kapanda si mchezo. Siku akigoma, kutoa mchezo inabidi dogo atulie.
Na lazma awe anamuamkia.
Shikamoo mke wangu[emoji1] [emoji1] [emoji1].umbea hauna posho[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaaaaa
 
bado ni ngumu kuamini..aise ndoa ni jambo adhimu sana msifanye mchezo...yaani kapicha hako tu ndo kithibitishe tukio muhimu maishani? huwenda ni kiki au kamuolea mtu

Naomba watume picha ya shehe na walii wa sheila/uwoya akiwa anampa mkono janyaro ktk kuidhinisha ndoa hiyo.

Ndoa haiwezi kufungwa kihuni hivo...ila hii dunia lolote linawezekana ngoja nisimalize maneno kwanza.

Ndoa ya kweli lazima at least ingeendana na matukio kama vile ya sherehe ya Joti,Masanja, lbd hao tutasema wakristo basi hata ingefanana na ya mwana fa kama ndo kimya kimya au Nuh Mziwanda....Ndoa ya kweli ina matukio na mazingira yake muhimu ambayo lazima tu yatajitokeza na watu kuamini 100% kuwa kweli hapa ndoa imefungwa.
 
Hapo ndo umeongea Mkuu nimekuelewa kidogo ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…