Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Uko wapiDah!!...naomba nipate wa kumalizia ujana wake kwangu na mie😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapiDah!!...naomba nipate wa kumalizia ujana wake kwangu na mie😀
Hili neno napata moto linatumika dodoma hata mie kipindi natoka mwanza lilikuwa linanipa shida sanaMoto upi mkuu, umetuacha njia panda watu wa pwani siye
Tumuombee tu Dua.. Wadumu.UMEMSAHAU HBABA.JAMAA WAMEPANUA NJIA
Waliokaa watatu kwa mbele mbona ni wanawake wote au anayewowa ndo aliyesimama mwenye koti.................!
Diamond ana afadhari. Amekomaa. Zaidi ya dogo Janja. Na hata kimaumbile diamond amemzidi urefu zari.Kama dai na zari tu
Nothing new!
Marioo wanaongezeka kwa speed ya 4G sasa huyu sijui nimuweke kundi lipi cz kuna makundi matatu ya mariooMapenzi hayachagui
HahaaaaaDiamond ana afadhari. Amekomaa. Zaidi ya dogo Janja. Na hata kimaumbile diamond amemzidi urefu zari.
Ila uwoya kapanda si mchezo. Siku akigoma, kutoa mchezo inabidi dogo atulie.
Na lazma awe anamuamkia.
Shikamoo mke wangu[emoji1] [emoji1] [emoji1].umbea hauna posho[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
TanzaniaUko wapi
Hapo ndo umeongea Mkuu nimekuelewa kidogo wwbado ni ngumu kuamini..aise ndoa ni jambo adhimu sana msifanye mchezo...yaani kapicha hako tu ndo kithibitishe tukio muhimu maishani? huwenda ni kiki au kamuolea mtu
Naomba watume picha ya shehe na walii wa sheila/uwoya akiwa anampa mkono janyaro ktk kuidhinisha ndoa hiyo.
Ndoa haiwezi kufungwa kihuni hivo...ila hii dunia lolote linawezekana ngoja nisimalize maneno kwanza.
Ndoa ya kweli lazima at least ingeendana na matukio kama vile ya sherehe ya Joti,Masanja, lbd hao tutasema wakristo basi hata ingefanana na ya mwana fa kama ndo kimya kimya au Nuh Mziwanda....Ndoa ya kweli ina matukio na mazingira yake muhimu ambayo lazima tu yatajitokeza na watu kuamini 100% kuwa kweli hapa ndoa imefungwa.
kama wenyeji hawajamwambia? na yeye ni mgeniHuyo mwanamke keshaonesha kutofaa. Kichwa cha mwanamke swafi hufunikwa
Movie mpya ya iren uwoya hii..
Mwenzako kashakula mpunga toka kwa mwarabuKwa kiingereza watu dizaini ya Dogo Janja ndio wanaitwa mazafakaz.