lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,965
Mbona picha ya kawaida sana, mashavu kama komamanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha Lembebezz Akili kubwa Instagram (LAKI) leo kimejikuta katika vita kubwa ya hela baada ya kugombania kununua picha ya King of all social media bongo,vita hiyo ilianza baada ya king huyo kupost picha yake aliyopiga miaka ya sitini mwanzoni akiwa sekondari huku ikiandamana na maneno matamu ambayo iliwaacha watoto hao wamelowa tepetepe. Baada tu ya kupost picha hiyo Lembebezz mmoja alisema yuko tayari kununua picha hiyo kwa mil 3 aiweke chumbani kwake ili kabla ya kulala awe anapata supa kiss kila siku ambapo mwingine alijitokeza na kusema yuko tayari kutoa mil 4 kabla ya mwingine kusema yeye atatoa mil 7.LAKI wamesema wako tayari kufanya lolote ili kuweza kumiliki picha hiyo ambayo king amedai kipindi hicho Lembebezz walikuwa wanamuangukia.Picha hiyo iliozua tafrani ni kama inavyoonekana hapa chini.
![]()
lemutuz_nationNGOJA TUPUNGUZIANE STRESS ..........KUNA WATU WANAKUWA POA UKUBWANI BAADA YA KUWA NA PESA na kuhamia mjini mimi ni born hapa hapa Downtown Ocean Road hahahahah NILIKUWA POA Loong time ago HAHAHA hapa Form Two Kwiro Secondary School hahahaha wabebezzz walikuwaga wananidondokea wenyewe U know .....wanalewa na Le Machozzz na Super Lips hahaha U know ... hahahah au kuna mwenye problemzzz hukooozzz? Hahahahahah LE MBEBEZ Hahahah U know! - le Mutuz Nation
hahaa LAKI wakiiona hiyo picha beki hazikabi u kno,im humbled u knoMbona picha ya kawaida sana, mashavu kama komamanga.
Hahaha labda malonya wenzie.hahaa LAKI wakiiona hiyo picha beki hazikabi u kno,im humbled u kno
Nyani Ngabu ur day one nigga. zamani alikua anaenda with the Field marshal moniker,rght?Le Mutuz is ma nigga for real.
Nyani Ngabu ur day one nigga. zamani alikua anaenda with the Field marshal moniker,rght?
Yeah yeah...FMES (Field Marshal Emergency System) na pia Mzee ES.
Any other question?
That's ma nigga for real. Self made soon to be billionaire.
Any other question...
Buh Sorry.. i like when said that's your nigga for real
Your niggah doesn't have any mental illness?...
Is this thing right for a big uncle like him?
have ever advice him in any way?
It's not compulsory to answer all bro!
For money that's sounds good ain't got no worries about thatMa nigga is all there. He knows what he is doing.
But y'all keep laughing at him like he's clueless or something.
It's all gravy though. Y'all keep laughing at him while he watches his money pile up.