Picha ya Marlyn Monroe yavunja rekodi, yauzwa kwa Bilioni 450. Je, huyu mwanadada alikuwa na kipi cha ziada?

1.Hili la kuwa na mahusiano na Kennedy brothers ilikuwa kweli au ni uzushi?

2.Je alikuwa mwimbaji pia?

3.Kwanini unadhani aliyepanga njama za mauaji ya Kennedy brothers ndie huyohuyo aliyemuua Marlyn, alikuwa na sababu gani?
 
Wazungu hutowaweza, utasikia sjui paka wa maiko jaksoni, sijui kitamba cha supastaa gani alilia akafutia machoz msiba wa mkewe, yaani ni mambo ya kiwaki waki kinoma.
Wana pesa hawana pa kuzipeleka..kiufupi hawana njaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Pesa za kuzimu hizo.. Hiyo minada ni ibada za kishetani na hizo pesa ni sadaka
 
Hana la ziada ila jamii inayomhusudu ndio ina mpunga mrefu.
Kina kim etc.
Ndio watu wanaofuata nyayo zake
 
Unamjua sam Giancanna au santo trafficante? Watu wanaua adi rais...na huyo marryline yupo hapo
 
Hapo mwisho sio kweli...kenedy aliuliuwa na mob boss giancana na monroe aliuliwa na hao kina keneddies
 
Hana la ziada ila jamii inayomhusudu ndio ina mpunga mrefu.
Kina kim etc.
Ndio watu wanaofuata nyayo zake
Aisee,sio mbaya lakini maana wamesema pesa iliyopatikana itaenda kusaidia jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…