Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitumiwa na mamlaka ya nchi, literally.Inaonekana pia alikuwa akitumiwa sana na Mamlaka za nchi,hapa alienda kuwafariji wanajeshi wa Marekani waliokuwa vitani.View attachment 2219103View attachment 2219106View attachment 2219107View attachment 2219108
Nabisha.
Mimi si msomi mkubwa wa mambo hayo, ni msomi wa kawaida.
Ila, katika jamii yetu hakuna wasomi wakubwa wengi wa mambo hayo, hata msomi wa kawaida anaonekana msomi mkubwa.
Shukurani sana mkuu.Huwa napenda sana michango yako hasa unapogusia.
Quantum Physics na Relativity,
Najifunza vitu vingi. Uzidi kudumu mkuu.
daftari la 2pacWazungu hutowaweza, utasikia sjui paka wa maiko jaksoni, sijui kitamba cha supastaa gani alilia akafutia machoz msiba wa mkewe, yaani ni mambo ya kiwaki waki kinoma.
Statue ya huyo mrembo wa zamaniNew York,Marekani.
Picha ya mwanadada Marlyn Monroe iliyopigwa mnada hapo jana imevunja rekodi kwa kununuliwa kwa dola za kimarekani milioni 195($195 Mil) ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 450 za Kitanzania.
Picha hii pia imevunja rekodi ya kuwa ndio picha ya gharama zaidi kwa picha zilizochorwa katika karne ya 20.
Picha hii ilichorwa na mchoraji Andy Warhol mwaka 1964 ilinunuliwa na Bwana Lary Gagosian katika mnada ambao ulichukua chini ya dakika nne tu.
Marilyn Monroe alizaliwa June 1,1926 na alifariki August 4,1962 akiwa na miaka 36.
Je huyu dada alikuwa na kitu gani cha ziada kiasi cha picha yake kuuzwa ghali namna hii?
Kwa kadri nilivyomsoma inasemekana alikuwa mwigizaji,model na sex symbol(mtanisaidia hapa) na pia inasemekana aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Raisi John F Kennedy na ndugu yake Robert F Kennedy,Je kuna mengine unayajua kuhusu huyu mwanadada?.
Picha ya kwanza ndio iliyovunja rekodi.
Ahsante.View attachment 2218974View attachment 2218975View attachment 2218979View attachment 2218981
New York,Marekani.

Kweli waafrika tunanunua vitu vya kipumbavu kabisa, Sasa maji machafu ya kuoshea maiti mtu ananunua!Usishangae sana,
Sisi waafrika wananunua kamba ya mtu aliyejinyonga,
Maji ya maiti,nyuzi za sanda.
Yaani basi tu dunia uwanja wa fujo, wenye kujua zaidi ya maana ndo hugharamikia kununua wavitakavyo,ndio maana wewe unajiuliza picha tu ina nn cha ziada,aliyenunua ndio anajua zaidi.
Ulishasikia wananunua kamba aliyojinyongea mtu? Au uchafu wa maiti?Wazungu ni wachawi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alitumiwa na mamlaka ya nchi, literally.
"Alitumiwa" na Rais John F Kennedy pamoja na kaka yake Robert F Kennedy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daftari la 2pac