Pre GE2025 Picha ya Mbowe ni miongoni mwa picha zilizopo kwenye mabango ya CCM kuelekea Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado nawaza sana kama kweli Harakati za TAL za kuandamana kudai katiba mpya kama itafanikiwa kwa hawa watanzania wamitandaoni
Haiwezi na haitaweza kufanikiwa..Lissu hawezi kusimamia jambo likafanikiwa! Ni kama chadema kimelemewa na mashambulizi ya shetani..
 
NNime
Nimelipenda hilo tofali la nch 6 mbele ya bangoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kutoka kufungiwa kufanya mikutano ya kisiasa na sasa Chama kipo huru kufanya mikutano yake

Kusaidia wakimbizi wa kisiasa kurudi nchini pamoja na wafungwa zaidi ya 4K
Acha kuvuta bangi hapo ghetto kwa Wenje Dalali kisha umejitoa fahamu zote
 
Kutoka kufungiwa kufanya mikutano ya kisiasa na sasa Chama kipo huru kufanya mikutano yake

Kusaidia wakimbizi wa kisiasa kurudi nchini pamoja na wafungwa zaidi ya 4K
Mbowe tapeli, na wanachama wasipostuka mapema chama chao kitakuwa kama UDP,TLT au CUF
 
Reactions: I M
Kumchagua Mbowe tena ni kuifanya Chadema kuwa kigango cha CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…