Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari sanaaa!@Hata Mimi nilishangaa, yaan Democrats wawe Kwa mkutano wao, alafu wamuote TRUMP wampe Tuzo🤣🤣
Makengeza ni Tapeli tu
lissu ikitokea kawa mwenyekiti mara itokee nchi itake kumsupport kupindua serikali ya ccm,unazan anaweza kataa?hata lissu ana busara
Wanachama wake wanauwawa na kupotezwa kila uchwao nyie mabumunda mnasema eti mna busara😆😆Ana busara
Wewe ndio Oscar wa kwanza kumjua ambaye ni mwehuWenje sio dalali ni kijana mzuri tu kama Abdul
Hawa ndo wanaomharibu!! Sikujua yule mwingine kumbe anaendesha harakati akiwa Nairobi!!Bado nawaza sana kama kweli Harakati za TAL za kuandamana kudai katiba mpya kama itafanikiwa kwa hawa watanzania wamitandaoni
Mbona hawwkurudi kwa Magufuli??Mikutano sio hisani ni takwa la kisheria. Kwani ukiwa mkimbizi huruhusiwi kurudi nchini ukitaka?
Grave mistake“ Maendeleo hayana Chama “ by John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, picha yake ni miongoni mwa picha zilizopo katika mabango ya CCM hapa Dodoma.
Hakika Mbowe anapendwa mpaka na chama tawala. Hii ni kubwa sanaView attachment 3204651
Uamuzi ulikuwa wao wa kurudi ama la.Mbona hawwkurudi kwa Magufuli??