Pre GE2025 Picha ya Mbowe ni miongoni mwa picha zilizopo kwenye mabango ya CCM kuelekea Mkutano Mkuu

Pre GE2025 Picha ya Mbowe ni miongoni mwa picha zilizopo kwenye mabango ya CCM kuelekea Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi naipenda ccm ila kwa chadema mbowe haondokii
 
Ana busara, si mkurupukaji, ana subira ni mstahamilivu ambayo ndiyo sifa kubwa sana ya mwanasiasa yoyote yule Duniani.

Tunakwenda na Jabari, hutaki tukutane TLP
 
Hilo ni jabali la siasa za upinzani Tanzania linalopelekewa moto na mnyampaa kwa sasa.
 
Bado nawaza sana kama kweli Harakati za TAL za kuandamana kudai katiba mpya kama itafanikiwa kwa hawa watanzania wamitandaoni
Hawa ndo wanaomharibu!! Sikujua yule mwingine kumbe anaendesha harakati akiwa Nairobi!!
 
Back
Top Bottom