KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
MBOWE ni kada mtiifu“ Maendeleo hayana Chama “ by John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, picha yake ni miongoni mwa picha zilizopo katika mabango ya CCM hapa Dodoma.
Hakika Mbowe anapendwa mpaka na chama tawala. Hii ni kubwa sanaView attachment 3204651