Picha ya mbunge bashiru bungeni inaweza kutupa nini kilichopo bungeni

Mimi nacheka tu hiyo picha ya pili ya Mh Bashiru😃😃
 
Dr. Bashiru mbona haongei kabisa bungeni
 
Bashiru anaona aibu namna wabunge wa darasa la saba wanavyoliaibisha bunge mbele ya mataifa ya nje kama Kenya.Maana Hawa wabunge wa elimu ndogo wanalifanya bunge Zima lionekane ni la watu wa elimu ndogo wakati Kuna PhD nyingi.Mfano mbunge mwenye akili timamu hawezi kusema mtu apigwe Hadi akaribie kufa(apumulie mashine)wametuaibisha sana hawa wabunge wenye elimu ndogo.Kila nikienda Kenya kwenye biashara zangu naulizwa hivi bunge lenu Kwa Nini linavichaa?Aibu ninayoipata huko kenya ni kubwa sana Mimi kama mtanzania mzalendo.
 
Jesca anaongea hoja gani hadi Bashiru anaishia kupatwa na bumbuwazi?
Kwani Bashiru ni nani? Yaani Msavatabangu asiongee anachotaka kwa sababu ya Bashiru?

Hebu tuwe serious nyuzi zingine zinatupotezea muda
 
Sasa yeye mwenye PhD mbona hanyooshi mkono kuongea kama anayo mawazo??

Kama anadhani wabunge waliopo hawana elimu ya ku share naye hoja, basi asihudhurie bunge maana yeye ni mbunge wa viti maalum tu.

Watanzania wanafiki sana. Leo hii mtu aliyesema "tutatumia dola kubaki ikulu" anaonekana ni mtu wa maana???

 
Si utamaduni wa wale wanaovuliwa vyeo kuongea ongea ktk bunge la JMT. isipokuwa muhongo mara moja moja.
1. Makamba kimya
2. Nnauye kimya
3.ndugai kimya
4. Kakurwa kimya
5. Umi Mwalimu kimyaaa
6
7
8
Mpina???
 
Si utamaduni wa wale wanaovuliwa vyeo kuongea ongea ktk bunge la JMT. isipokuwa muhongo mara moja moja.
1. Makamba kimya
2. Nnauye kimya
3.ndugai kimya
4. Kakurwa kimya
5. Umi Mwalimu kimyaaa
6
7
8
Dr kalemani yule wa chato ndie kapotea kbsaaa. Sidhan kama atarud bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…