Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Sidhani kama ni chuki, ni tatizo la uelewa.Kulwa Jilala,Etwege, Elitwege ame specialise kuwatukana viongozi wa Chadema ndicho anachoweza tu hapa duniani
Inahuzunisha sanaNa wote wamekufa kifo cha aina moja
Kweli kabisaSiasa ni mipango
mshike mshike
Sijataja majina au unataka nikutaje kwa jina lako halisi,nakufamu vizuri sana ila naheshimu sheria na kanuni za JF, hizo hapo ni mojawapo ya ids zako unazotumia kuitukana Chadema na viongozi wake,na unatumia staili ile ile ndiyo maana unaji-expose mwenyewe.Hairuhusiwi kutaja majina ya watu
MhSijataja majina au unataka nikutaje kwa jina lako halisi,nakufamu vizuri sana ila naheshimu sheria na kanuni za JF, hizo hapo ni mojawapo ya ids zako unazotumia kuitukana Chadema na viongozi wake,na unatumia staili ile ile ndiyo maana unaji-expose mwenyewe.
una machozi ya kuchezea sana ndugu yaani hiyo picha wapi panaliza maana hata sijapaonaWakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Watu wanatofautiana hisia mkuu usimdharau mleta uziuna machozi ya kuchezea sana ndugu yaani hiyo picha wapi panaliza maana hata sijapaona
Machozi yako umeyatumia vibaya. Ukute hata ndugu zako wa karibu wakifariki haupati hata majonzi, ila umeamua kuwalilia watu ambao walikuwa wanagombea mkate waoWakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Orodha ni ndefu kwa kweli, kila Mtu yumoWakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Kuna mmoja anamchekea mwenzake kicheko cha kinafiki.Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Fafanua mkuuMacho na kidevu vinaonyesha kitu tofauti kwa BM ( Gravity for faking )
MhWenyewe wanakula bata huko walipo, hebu fikiria jopo liliopo huko....Una J.K Nyerere akiwakaribisha Chai 'ehe' 'enhe' na ile tsk tsk yake
Haijalishi.
Ngoja tutwangane kwanza.
Membe amecheat hapo.Fafanua mkuu