Picha ya Membe na Magufuli imenitoa machozi

Hairuhusiwi kutaja majina ya watu
Sijataja majina au unataka nikutaje kwa jina lako halisi,nakufamu vizuri sana ila naheshimu sheria na kanuni za JF, hizo hapo ni mojawapo ya ids zako unazotumia kuitukana Chadema na viongozi wake,na unatumia staili ile ile ndiyo maana unaji-expose mwenyewe.
 
Mh
 
Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .

Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
una machozi ya kuchezea sana ndugu yaani hiyo picha wapi panaliza maana hata sijapaona
 
Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .

Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Machozi yako umeyatumia vibaya. Ukute hata ndugu zako wa karibu wakifariki haupati hata majonzi, ila umeamua kuwalilia watu ambao walikuwa wanagombea mkate wao
 
Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .

Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Kuna mmoja anamchekea mwenzake kicheko cha kinafiki.
 
Chozi huja kulingana na fikra zilizopo juu ya kile kinachotolewa machozi!

Maadam fikra za mwanadamu Ni tofauti wakati wote, mtu atamshangaa mwingine kwa Nini anatoa machozi!

RIP shujaa JPM na mwanadiplomasia UCHWARA, BCM

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wenyewe wanakula bata huko walipo, hebu fikiria jopo liliopo huko....Una J.K Nyerere akiwakaribisha Chai 'ehe' 'enhe' na ile tsk tsk yake
Haijalishi.
Ngoja tutwangane kwanza.
 
Rest in peace
IMG_2756.jpg
 
Back
Top Bottom