wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Huko majuu kama wanakutana sijui itakuaje