Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Mshahara wa dhambi ni mauti.
POLE LAKINI UKOME.
Weken hadharan hayo madhambi tuyajue jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshahara wa dhambi ni mauti.
POLE LAKINI UKOME.
Du ni kweli huyu jamaa alikuwa na hasira sana kubeba kiasi kikubwa vivyo cha Tindikali na MUNGU amlinde asikamatwe, kwani ametulipia na sisi ndugu zetu waliouawa na eti kuwalipwa machungu.
Moja ya matukio hayo ni kumpiga risasi mfanyakazi wake mwaka 2005 wakati akishusha bidhaa za kuuza dukani kutoka katika gari lake, kumpiga risasi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Vingunguti, Deo Vicent Agosti 15, 2006 saa 1:00 usiku Mtaa wa Msimbazi na Swahili Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wake alimpiga baada ya kumbishia Said kwamba hawezi kumpiga risasi kwa sababu anajua sheria za nchi haziruhusu kufanya hivyo. Alimpiga kuonyesha kwamba yeye yupo juu ya sheria za nchi. Kesi hiyo nayo aliimaliza kimya kimya kwa kumpa hela mfanyakazi huyo na ndugu zake na polisi.
Mtoto Vicent yeye baada ya kupigwa risasi aliliripoti Polisi na baadaye alilazwa katika Wodi namba 17 Moi kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Alipigwa risasi ya mguuni wakati akipita karibu na duka la Said baada ya mashabiki wa Simba waliokuwa wakisherekea ushindi wa timu yao kupita katika eneo hilo.
Hata hivyo, alimaliza kesi hiyo nje ya mahakamani kwa kuwapa hela wazazi wa mtoto huyo.
Pole sana. ILA, muosha huoshwa.Mungu amponye na awasemehe waliofanya unyama huu!
​uyajue we MunguWeken hadharan hayo madhambi tuyajue jamani
Hii inatisha! Hivi mtu unawezaje kumfanyia mwanadamu mwenzako kitendo kama hiki?
​uyajue we Mungu
Hii inatisha! Hivi mtu unawezaje kumfanyia mwanadamu mwenzako kitendo kama hiki?
mbona yeye aliwafanyia wenzake hivyohivyo. Si vizuri kumwambea mtu mabaya wanajamvi mtanisamehe ila wacha akome
Na eana tuhuma za kuwaingilia kinyume na maumbile wafanyabiashara wapinzani wenzake kama ni kweliHii inatisha! Hivi mtu unawezaje kumfanyia mwanadamu mwenzako kitendo kama hiki?