Picha ya Mtu Mwenye Jinsia ya Kike na Kiume: Maswali Magumu kwa JF Doctor


Duh!....mzee unakeep records!
 
Anaangaliwa huyo mtu mwenye Jinsia mbili Tabia yake au mpaka afike miaka 15 itajulikana kuwa yeye ni mwanamke au ni Mwanamme Tabia yake na atapimwa kwa Wataalamu na kujulikana ni kuwa upi Kati ya Uume wake au uchi wake unaofanya kazi. Ndio hapa hukumu itatolewa kuwa yeye ni mwaname au Mwanamke Na pia Swali hilo Fikisha kwa Ndugu zetu Masheikh wa Kiislam Watakusaidia sana asanteni.
 

Kuvuta cristoris inajumuisha makabila kama vile Wahaya, Waha, Warundi.
hii iliwasaidia sana hasa katika zoezi zima la ndoa. Sasa hivi nadhani vijana wa sasa wahayajui hayo kwa vile wanakulia mijini.
 
Kuvuta cristoris inajumuisha makabila kama vile Wahaya, Waha, Warundi.

hii iliwasaidia sana hasa katika zoezi zima la ndoa. Sasa hivi nadhani vijana wa sasa wahayajui hayo kwa vile wanakulia mijini.

Hivi hii ina uhusiano wowote na agenda ya "Katerero"?
 
pasco,
you are misleading people by your generalization.
I dont mean to disagree with your experience about that Mhaya,but I what I have to say is that possibly that was the only one case which does not have to apply to the entire tribe.
It is not true that Wahaya wana tabia ya kukivuta.
Si kweli hata kidogo.But hiyo haimaanishi kuwa huyo wako kuwa hakukivuta.Possibly alikivuta,but this is not the Wahaya style.
 
lol, duniani kuna mambo! jinsia 2!
 

Du! My sonoooooh! Heey!
 

Wapi Kuhani? Tunakumiss sana Mkuu wetu. Wewe na Putin na hoja zenu za nguvu? Mko wapi Jamani?
 
Kitaalamu hiyo hali inaitwa intersex/True-Hemaphroditism, ni somo pana, jaribu ku-google ili kupata ufahamu kwa kiwango unachotaka.
 
kawaida tatizo hili linasababishwa na genes.jinsi zinavyojigawa.na vipi utamjua kama huyu ni mwanamke au mwanamme kwa kuangalia ni ipi inafanya kazi.
 
Mi mbona naona hiyo picha kama ya kudesign mi namjua m2 mwenye jinsia mbili hazijakaa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…